Recent content by builDDar decor

  1. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Poa Mkuu. Tupo pamoja. Karibu sana
  2. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Karibuni sana
  3. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji printer

    Ni vifaa vinavyohifadhia wino. Kwa mfano printer hii inatumia cartiledge no 650. Angalia picha Kwa hiyo hizo zipo katika pea ya wino wa rangi na wino mweusi. Zikiisha unajaza wapo mafundi kibao au unaenda kununua wino Kariakoo au kule Mabibo hosteli bei ilikuwa elfu 6 Karibu sana
  4. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji printer

    Kuna hp laser 1515 unaweza kuscan, photocopy na print. Wino sio ishu unaweza kuwa unajaza gharama zake ni Sh 5000 hadi elfu 7000 kwa cartiledge na mkonge nategemea upo maeneo gani. Suala la kutumia wino sana inategemea na kazi zako mwenyewe. Bei ya new cartiledge pair inafika elfu 50. Wino...
  5. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Karibu sana
  6. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Thanks tuyafanyia kazi. Pole pole ndiyo mwendo
  7. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Karibu sana mkuu
  8. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Asante mkuu. Ni kweli ila mahitaji ya mteja hulazimu kuongeza anachotaka mwenyewe Katika kazi hii kuna ile michoro au mapambo simple ambayo kuna baadhi ya wateja wetu huyahusudu sana. Na kuna kundi jingine hutaka mapambo yaliyo complicated ambapo mteja anakwambia anataka yawe very unique sio...
  9. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Samahani, sijakuelewa swali lako. Katika suala la Ceiling unamaanisha ulipoweka dari ulitumia ceiling body ile ya zamani au gypsum body lakini imekuwa ya muda mrefu? Kama ni ile Ceiling ya zamani haiwezi kushika maana itakaa kwa muda tu lakini baadae itabanduka
  10. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Thanks mkuu
  11. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Thanks mkuu
  12. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Hakika maoni yako yana thamani kubwa kwetu. Tutafanyia kazi. Asante sana kwa kutusaidia kuboresha kazi
  13. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Karibu sana
  14. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Asante mkuu. Karibu sana
  15. builDDar decor

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda nyumba kuwa na mvuto! Pita hapa

    Habari zenu wanaJF Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosoma Tunafanya kazi za ujenzi katika umaliziaji wa nyumba hatua za mwisho katika maeneo haya 1. Kuweka gypsum na Kudizaini maua au maumbo mbali mbali katika dari. Hatutumii maua au maumbo kama vile mikanda, bond n.k za Mchina...
Back
Top Bottom