Recent content by Bugeni

  1. B

    JamiiForums Tanzania Internship Opportunity Request – Taxation Graduate Seeking Placement

    Nashukuru sana kwa ushauru
  2. B

    JamiiForums Tanzania Internship Opportunity Request – Taxation Graduate Seeking Placement

    Asante sana nafanyia kazi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Internship Opportunity Request – Taxation Graduate Seeking Placement

    🤣🤣🤣 tumia fursa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Internship Opportunity Request – Taxation Graduate Seeking Placement

    Greetings Members, I hope you are all doing well. My name is Maduhu Joseph Manyanya, a recent graduate with a Bachelor of Science in Taxation from the Institute of Finance Management (IFM). I am currently seeking an internship opportunity in areas such as taxation, accounting, finance, or any...
  5. B

    JamiiForums Tanzania TPASS1, TPASS2, TPASS3, TPASS4

    Nitumie namba zako pm inazngua
  6. B

    JamiiForums Tanzania TPASS1, TPASS2, TPASS3, TPASS4

    Ulikuwa na hoja gani?
  7. B

    JamiiForums Tanzania TPASS1, TPASS2, TPASS3, TPASS4

    Scanner operator 2
  8. B

    JamiiForums Tanzania TPASS1, TPASS2, TPASS3, TPASS4

    Wakuu habarini. Mwenye uelewa na hivi viwango vya mshahara ambavyo tpa wamevitoa kwenye hizi ajira anisadie plz.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uahauri kuhusu biashara ya mashuka, pazia, kapeti, na mito

    Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia majibu na ninyi nimeona ni watu sahihi kuwauliza na kupata hayo aidha katika kupeana ushauri...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Matatizo yako wapi, sema huwez kuzuia watu kukuchallenge ningepata hyo 25k kila siku nisingekuwa na haja ya kulalamikia malipo hayo Ila unapata hyo alaf unakaa muda Tena kuipata hyo au ambacho hukuelewa na kunifanya nionekane nna matatizo Ni nn, weka wazi matatizo hayo pengne ndo MSAADA wangu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Hapana sina
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Ni kweli Nina huo mpango, Tena hasa napenda graphics design Ila Sina Ada Yan Sina kila kitu, nikipata MTU wa kunisaidia Niko tayar kwenda
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Asante nalifanyia kazi
Back
Top Bottom