Recent content by Buganzy ya Lutinwa

  1. Buganzy ya Lutinwa

    JamiiForums Tanzania Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

    Huhitaji DNA kujitambua. kuna inherited elements nyingi tu hazijifichi. wazee wetu hawakukosea na mtoto ambae hakua wa ndani alijulikana tangu mimba wengine kuzaliwa kwake tu. Japo wambebesha mama jukumu la kuwa DNA tester wako sio lazima. watoto wa mitaani walitupwa wakiwa wadogo na hushia...
  2. Buganzy ya Lutinwa

    JamiiForums Tanzania Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

    hujataka kujijua. mambo yote yapo wazi hayajifichi
  3. Buganzy ya Lutinwa

    JamiiForums Tanzania Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

    Nikujumbushe wanyakyusa wapo pande mbili. Mnyakyusa Mchele na Ndizi Mnyakyusa ndizi ni jamii kamili ya wanyambo, waziba. Historia inaanzia miaka ya 1460 baada ya watoto wa King Agaba wa Bunyoro Kitara kusambazwa ulinwenguni baada ya kuhofia kupinduliwa na watoto wake wakiume. kila mtoto...
  4. Buganzy ya Lutinwa

    JamiiForums Tanzania Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

    Hakuna kabila inaitwa Wahaya. Wahaya ni jumuishi ya kabila zilizopo Kagera. Wahaya ni watu wenye asili ya visiwani na pembezoni mwa ziwa victoria wenye shughuli ya uvuvi tu japo nao wana makabila yao. Jina WAHAYA ilitokana n la shughuli ya uvuvi. Neno Wahaya imetoholewa au kuzaliwa kutoka neno...
  5. Buganzy ya Lutinwa

    JamiiForums Tanzania Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

    historia ndefu sana ila chenga nyingi sana. references zoote za mzungu. adui anakujua kuliko unavyojijua kweli?, fanya research utawajua kupitia wahusika na wana historia tofauti na za hao waliopotosha kweli yetu
Back
Top Bottom