Pendekezo la kusoma degree ni zuri lakini si mhimu. Ufanisi wa mtu hasa katika siasa haitokani na idadi ya degrees. Wewe uliyeko University unafundisha ndiyo unatakiwa usome degrees zote maana usipofanya hivyo hutakuwa na kibarua. Laprofeseri Mhongo na Tibaijuka wamelisaidia nini taifa pamoja na...
Huo mshahara ni sawa kabisa kwa CEO. Tuelewe pia kuwa huyo bwana alikuwa sector binafsi (bank). Pia mbona kuna expats wanavuta mikwanja mirefu tu lakini hatusemi? Au kwa kuwa hatuwajui? Mimi nafurahia kuona waTZ nao wakilipwa mishahara mikubwa. Tuache wivu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.