Recent content by Budodi12

  1. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hivi Mdude Nyagali atahojiwa Vituo Vingapi, Kwani Polisi hawatumii TEHAMA? Sasa hivi kaletwa Dar es salaam

    Kiukweli Mdude kama anawashauri wazuri wamwambie awe mpole.. mtawalaumu polisi lakini kiukweli anazingua!... pia ajifunze kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu au kwa John Mnyika.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mhe. Tundu Lissu, wewe ni mgombea wa urais. Sote tunatambua ya kuwa urais ni taasisi. Hivyo ni muhimu sana kwa wewe kujijenga kitaasisi ukiwa mgombea. Kwa jinsi ninavyoshuhudia katika kampeni zako wewe umekuwa ndo kila kitu yaani wewe ndo msemaji wewe ndo Katibu wa chama. Sioni haja ya wewe...
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuikomboe Tanzania kupitia Lissu, hakuna nchi Duniani ina mifumo miwili ya lugha za kufundishia

    Njooni ni mpango mkakati wa kuongeza pato la taifa kwanza na sio kujitungia tu sera ambazo hazitekelezeki.
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuikomboe Tanzania kupitia Lissu, hakuna nchi Duniani ina mifumo miwili ya lugha za kufundishia

    Mfumo wa kutumia lugha moja tu ya kiingereza kufundishia katika elimu yetu hauwezi kuwork katika shule zetu. Kumbuka unavyokuja na mambo haya tambua tupo over 50 million. Tatizo la wanasiasa kama Lissu mnapoona mnameneji peleka watoto wenu international school basi mnafikiri ni rahisi kiasi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

    Kwakuwa anafuata katiba na sheria zilizopo kutimiza majukumu yake ya sasa tatizo ni nini.. hamna tatizo
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Mhe. Tundu Lissu, ukitaka uishinde CCM kwanza anza kuwa Rais ndani ya chama chako, Pili ukiwa Rais wa chama chako ondoa makando kando yaliyopo ili kipate mvuto katika jamii.. Ukifaulu hayo gombea sasa.. unaweza kufanikiwa kupata ushindi wa angalau asilimia 35. Kinyume na hapo utaendelea tu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa hili la kampuni ya Total, Lema na Sugu wamekudanganya usiwasikilize tena

    Ndo tatizo la kuchukua habari za mitandaoni na kuzigeuza sera.. mara ooh tunawaunga mkono ACT wakati leo mgombea wao karudisha fomu ZEC ya kuteuliwa kugombea
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa hili la kampuni ya Total, Lema na Sugu wamekudanganya usiwasikilize tena

    Je aliwahi kukuua au kukutesa?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

    Hata wewe ukitaka uwe unaonyeshwa mara kwa mara kama yeye unaweza si unalipia tu matangazo😂
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Kutoka kuwa mtafuta kura za huruma mpaka kuwa mchochezi ambaye anaachwa avunje Sheria

    Kimsingi Ilani ya CHADEMA haina jipya na hii inamfanya Lissu aloose focus.. Hata ukifuatilia hotuba zake hanadi ilani ya chama chake. Bahati nzuri watanzania hawana interest tena na siasa za kiuwanaharakati hata akichochea fujo namna gani ataungwa mkono na wachache tu wa mitandaoni ambao wengi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hali hii, CHADEMA wanajiandaa kuvunja Muungano

    Kadili siku zinavyoenda kuelekea uchaguzi mkuu CHADEMA ndo wanazidi kujipunguzia kura. Chama kinazidi kukosa uelekeo sitashangaa CHADEMA kupata ushindi wa asilimia 15.
  12. B

    JamiiForums Tanzania VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Mhe. Tundu Lissu, tunakupenda sana na tunaendelea kukuombea hadi mwisho wa uchaguzi huu uendelee kuwa na afya njema maana tunatambua pasipo shaka yoyote huwezi kumshinda JPM hata utumie propaganda gani. Ushauri wangu jikite kwenye kunadi sera zako ili angalau chama chako kipate walau viti viwili...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    leo TAL katema cheche gani huko?
  14. B

    JamiiForums Tanzania CCM na Kikwete, nataka majibu

    CCM mpya ya jiwe imetekeleza
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    mzee weka akiba ya maneno
Back
Top Bottom