Recent content by Budhaboss

  1. B

    KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni kweli. Niliwapigia. Wakasema wanafanya hivo kwa alichokiita "KWA MUJIBU WA SHERIA"
  2. B

    Naomba mawasiliano ya ofisi za Gazeti la Serikali

    Naombeni namna RASMI ya kuwapata ofisi ya gazeti la Serikali kwa njia ya mawasiliano kwani, Kila nikiomba namba zao kwa watu mbali mbali napewa namba za watu binafsi. Ina maana hawana namba RASMI ya ofisi? Nataka kutuma form yangu ya DEEDPOL Ili nipate control number niilipie ichapwe kwenye...
  3. B

    Drone leo asubuhi S/Msingi Ukwama - Mapogoro - Mbarali ilikuwa inafanya nini? Kwanini wanafunzi walivo'shout" wakakimbia?

    Leo, saa 5 Hvi asubuhi, Kitongoji Cha UKWAMA,kata ya Mapogoro, wilaya ya Mbarali-MBEYA saa 5 Hvi asubuhi, Kuna land cruiser ikiwa umbali wa 300m hvi from S/MSINGI UKWAMA ikarusha "DRONE" had maeneo ya karibu na Madarasa&ofc ya shule. Tumeuliza Mtendaji wa Kijiji hadi Kata & viongozi wetu...
Back
Top Bottom