Recent content by Buchenubake

  1. B

    Nani kuikabili CCM Ngara 2015 kati ya Dk Ssebuyoya na Dk Bujari?

    Swala LA kuikabili CCM tulisubiri Laja. Nadhani madaktari hawa wawili wanafanana kwa udaktari, lakini Bujari ana zaidi ya udaktari. Mila kitu Bujari anachofanya anafanya kwa hesabu, lakini Do. Sebuyoya anafikiri Ngara ni ile ya zamani ya kuhonga pombe. Ukitaka kujua umahili Wa hawa wawili...
  2. B

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    National "ethos" Ndilo jambo la msiingi kwanza kabla ya maoni. What makes us proud Tanzanian? What makes us different from kenyas etc. Mambo gani ya msingi tunataka yaongoze taifa hili? ambayo kila Kiongozi atafuata?. The frame of reference "paradigm" is wrong and it gives wrong results.....
  3. B

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    A Strong Nation comes from the Strong Constitution. A weak constitution gives a weak nation. Now that we have Bunge la Katiba ambalo limeelekea mlango wa Kisiasa hata wajumbe walioteuliwa wameelekea ki-siasa, we are likely to get a weak constitution and we will have a weak nation. Hata Kingune...
  4. B

    Utamaduni wa woga na kutokujiamini kwa watanzania

    Wapendwa atanzania wenzangu, kuna kitu kwenye Biblia kinaitwa Spirit of FEAR. Huu ndio ugonjwa mkubwa unaopelekea hata kuogopa kufanya maamuzi magumu kwa kuogopa matokeo yake. Once we defeat the spirit of fear, then tunaweza kufanikisha mambo mengi. :flypig:
Back
Top Bottom