Ratiba ya Bunge inaonesha tarehe 31/03/2015 kutakuwa na miswada miwili inayofanana kimaudhui. Mmoja ni Muswada wa Baraza la Vijana Tanzania, 2015 (wa serikali) na mwingine ni muswada binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana la Taifa, 2013 (wa JJ Mnyika).
Cha kushangaza, inaonekana serikali...
Nchi inaangamizwa sio na watu waovu bali na ukimya wa watu wema. Kila la kheri kwa vijana wote wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali. UKAWA ndio mpango mzima CCM walie tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.