lazima watanzania tuamue kuamka sasa hatuwez kukubali mabilion yetu kuliwa na wazandiki wa nchi ....leo lazima tumjue yupi tumbil yupi njiwa .pongezi kwa bahadhi ya wabunge wa ccm wanaotuunga mkono juu ya hili...
Jamani kama umechaguliwa MUCE jipange kipiga msuli make ni xheeeda. saa nane ucku watu wanapixhana bungen. wale wa coz ya history kuna ticha mmoja anaitwa ombol na kajicho lazima axhike mtu aisee
Jamani kawa anaejua mkwawa univesity aka muce anijuze haya yafuatayo maana nimechaguliwa huko.. 1 kuhusu hostel zipo za kutosha? 2.kwa mwaka hostel ni sh ngapi? 3 chuo kipo sehemu gani iringa? 4.msuli wa pale vipi? 5 kuna huduma za jamii karibu? 6.misosi ya bei nafuu inapatikana? Ndo hayo jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.