Najali kutimiza ndoto kiukweli.... Hatakama hakuna shule zbar.. as long as nikiipata chance naenda kwamaana bara kuwin competition kwa vyuo vya serikali hasa kwa kozi ya Doctor of medicine ni vigumu mno Kama hujapata dv One Kali ... compared to me na ka9 sjui napata uv gani MD hapa bara
... sawaa.. Na pia vipi hasa kwa upande wa kozi za Afya Kama MD DDS na Nursing
.. kimekaa vizuri?
Na namnagani kuhusu hoja iliyoibuka ya Ubaguzi kwenye udahili kwa watu wa bara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.