Recent content by Brutini

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nilichukua kadi ya CHADEMA mwaka 1993, Wakati wengine wakiwa bado CCM

    Ngoja niwaulize ni makosa gani aliyoyafanya zitto!? Mi nashangaa kila mmoja anampa jina bila kujua chanzo cha jina la usaliti Acheni ufuata upepo, Sasa nauliza kwa tathmini zenu za kina naomba mueke wazi matatizo ya Zitto?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nilichukua kadi ya CHADEMA mwaka 1993, Wakati wengine wakiwa bado CCM

    kasome vizuri shetani hakuepo kabla ya yesu....
  3. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    ukanda na ukabila????? dont drink and drive Viongozi wanapeana nafas chadema kisa ukaskazini na uchaga leo hii unasema habari ya zitto ni ya ukanda?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    Kanuni za chama nyie mnazijua?Mwenyekiti anavojilipa fedha kupitia ruzuku ni kwa utaratibu upi? Siamini analyst yoyote anaweza kutoa comment kma za wale wanaomponda zitto najua hawa wametumwa na kina mnyika mzee wa majungu ndo maana hanenepi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    Tunataka viongozi muaminike na wananchi kwa ushujaa wenu hata kama mnapakwa matope
  6. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    Ni kweli kwamba zitto ni shujaa na mpambanaji it needs nothing to prove
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

    Wanaosema zitto ni mlafi wa madaraka kila mwanachama ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa hamtaki awe na haki hizo zote? Mnataka aliyepo ndo awe anachaguliwa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu Ya CHADEMA Kigoma:Kuna Wabunge na Madiwani Wangapi Wa CHADEMA?

    Soma waraka wa chacha wangwe ndo utajua... sio kua na chuki zisizo na kichwa wala mkia.. Wengi mkiulizwa zitto kafanyaje hamna la kusema mnabaki kusema usaliti,uhaini.. dont u reason kwamba hata siku kumi na nne zimeisha n nothing happened. Ndo uone target sio kumtoa ni kumshusha mnyika hanenepi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mapokezi aliyopewa Zitto Kigoma- Ni kwanini hakuna alama (Bendera, Kombati, n.k) za CHADEMA

    People do not really think outside the box. ulitaka aweke bendera ya nini? Nyinyi ndo vyama mbele uzalendo baadae.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lililotokea Kigoma CHADEMA wasithubutu kumfukuza Zitto Kabwe

    mtaacha kua watumwa wa fikra mpaka lini?chama kina wenyewe ndo nini?mbona mnaanza kukosa sifa za kua humu wengi wanajifunza nyie mnatetea ujinga... Na umaskini ni wenu wenyewe.
Back
Top Bottom