Recent content by Bruce Hebrews

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kutumia Browsers mbili

    Hivi inawezekana kuview Browsers kuingia kwenye Browsers mbili kwenye PC mfano Google na FireFox bila zenyewe kuonekana kwenye Screen kwa pale Chini? Yani I mean inawekana mtu kuview Browser nyingine kwa Siri bila kuonekana mbeleni mwa PC?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu haiwaki

    Asante Kaka
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu haiwaki

    Kama Umeona Hii ndilo Jibu Sahihi la kunijibu..ASANTE SANA
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu haiwaki

    [emoji1787][emoji23]daaah sio kwamba nimeshindwa kupeleka kwa Fundi bro!!! Nilitaka kupata njia Mbadala kabla sijafika kwa Fundi Moja Kwa Moja
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu haiwaki

    Asante kwa Ushauri Bro!!!!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu haiwaki

    Habari zenu ndugu zangu Nina PC Aina ya HP niliiweka kwenye Chaji Usiku Sasa asubuhi nimeamka naona Haiwaki kabisa, vilevile Button ya Kuwashia PC naona imekuwa inatoa ka MWANGA hafifu nimejaribu kuiweka kwenye soketi nione Kama Itawaka au Laa lakini mpaka Sasa bado. Anayejua Tatizo litakuwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Duuuuh Ila inadhibitisha jinsi gani tulivyo walevi wa Mitandao Yani sipati picha kila mtu anavyolalamika
  8. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa Kuna mtu akajua kifurushi Cha siku hakifai akaunga Cha mwezi lakini Wapi holaaaa
  9. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Tanzania si Unaelewa Kwa Umbea tunaongoza[emoji23][emoji1787][emoji1787]...
  10. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    [emoji1787][emoji1787] kwa hiyo Kama Ni New world order ndio wafunge FB, Insta na WhatsApp au.. anyway na hakika kutakuwa na Sababu..na hiyo Sababu wanaijua wenyewe wahusika
  11. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    [emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]aseee
  12. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Shukran kwa Taarifa [emoji120][emoji120]
  13. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Kweliiii kbs hadi VPN Imedundaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16]
  15. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuanzia insta mpaka Facebook hazifunguki..naona Tunachunguzwa..
Back
Top Bottom