Recent content by brownroger_

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri:Nina nusu heka,nahitaji kulima Nyanya

    Eneo lipo mvuti-mbagala na nilikuwa nahitaji kufanya kilimo cha kawaida si cha green house
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri:Nina nusu heka,nahitaji kulima Nyanya

    Habari wapendwa,nina nusu heka ya shamba nahitaji kulima nyanya...je, ni kiasi gani cha pesa naweza kugharamia kuanzia ununuzi wa miche mpaka kufikia kuvuna wapendwa
  3. B

    JamiiForums Tanzania European Union to review its relations with Tanzania

    Ni sawa ila sidhani kama wanatuhitaji kuliko sisi tunavyowahitaji ndugu...usisahau kuwa wao na wenzao ndio wanaopanga taratibu za dunia hii kimaendeleo na kiuchumi
Back
Top Bottom