Recent content by Brown Tz

  1. Brown Tz

    Naomba kuelekezwa kuhusu kozi ya filter mechanics na nafasi zake za ajira

    Wadau wa jamii forums naombaa kuelekezwa hii kozi ya fitter mechanics inayo tolewa na veta ni kozi inayo husu kitu gani na pia ina soko LA ajira kwa kipindi hiki
  2. Brown Tz

    Telecommunication and electronic course

    Ukiachana na dit kipi chingine
  3. Brown Tz

    Telecommunication and electronic course

    Wadau wa jamii forums naomb kuuliza hivi chuo cha telecom na electronic pia na chuo cha networking kwa ngaz ya chet kwa Dar es salaam vinapatikana sehem gan na masharti ya kujiunga yapoje
  4. Brown Tz

    Naomba kueleweshwa kuhusu ufundi mitambo unaotolewa VETA

    Habarini wadau wa Jamiiforums naomba kuuliza hivi fani ya mitambo au ufundi mitambo unaotolewa VETA Chang'ombe ni fani inayohusu kutengeneza au kujifunza mitambo kama ipi naomba msaada wenu
  5. Brown Tz

    Nitapata uhamisho VETA baada ya kujisajili?

    Ata mm nimefanya usaili apo mzee
  6. Brown Tz

    Wadau naomba msaada kueleweshwa kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA

    Asante sana mkuu mfano mm form 4 nilikuwa arts subject pia naweza ku apply diploma
  7. Brown Tz

    Wadau naomba msaada kueleweshwa kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA

    Habari wadau wa JF, naomba kuchapisha Uzi huu hivi kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA ni kozi inayohusu mambo gani na unaweza kujiendeleza baada ya kumaliza kozi hyo na kujiunga diploma naomba msaada wenu wadau
  8. Brown Tz

    Information communication technology [ICT]

    Wadau naomba kuuliza ICT ni kozi inayohusu mambo gani na pia ukisoma ICT unaajiriwa sehem gan au unaweza jiajiri kufanya kazi gani naomba msaada wadau
  9. Brown Tz

    Je ni kweli veta chang'ombe dar wanapokelewa watu walio pass kwenye interview

    Wakuu naomba kuuliza hivi ukitaka kujiunga na veta chang'ombe kwa course ndefu ya umeme ni lazima ufanye interview kwanza na hiyo interview inakuwa ni IPI yaan ya masomo gani naomba kujua wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Brown Tz

    Naomba kuelekezwa kuhusu VETA chang'ombe long course ya umeme

    Wakuu naomba kuuliza chuo cha veta chang'ombe kilicho dar es salaam kuwa usajili unaanza lini kwenye long course ya umeme na wanachukua vigezo gani vya ufaulu kwenye course hiyo
  11. Brown Tz

    Baada ya kumaliza VETA naweza kujiunga na DIT au VETA Kipawa?

    No kwamb ukitoka veta umesoma miaka 2 koz ya umeme na uka pass vizur huwez kujiendelezaa
Back
Top Bottom