Recent content by Brown boe

  1. Brown boe

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Shukran nimejifunza kitu hapa
  2. Brown boe

    Fahamu kuhusu meditation/tahajudi

    Bro Rakims huyu anajua anachokiongea au anaongea ili afurahishe nafsi yake? watu kama hawa ndio wanaotukatisha tamaa an [emoji36] msaada wako mkuu kuhusu hili
  3. Brown boe

    Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    BRO KUNA MTU NIMEMGUMIA ANALALAMIKA SANA SIJUI ANA SHIDA GANI? HIVI ALIVYOSEMA VINA UKWELI WOWOTE UNAWEZA ELEZEA KWA UFUPI KWA FAIDA YA WOTE PLZ [emoji120] (mbona unawaeleza tu faida za meditation na unasahau kuwaeleza kwa kina hasara zake? Hujui kuwa ukiwa na uwezo wa kuihisi na kuiskiliza...
  4. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Nam nasubiri majibu nijifunze kitu mkuu rakim [emoji120]
  5. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Dah saw broo labd haijapangwa mm kujua elm hyo mana kila naemfata ananikatisha tu tamaa [emoji29][emoji120]
  6. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Saw bro ila nlikuw na shida na ww private nawez pata namba zako
  7. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
  8. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Bro Inbox hunjb tena shida nn [emoji29]
  9. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Nawez kukuuliza kitu mr
  10. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    link ya video bro, ila samahani kam ntakuwa nakukera [emoji120]
  11. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Mbn nimeusoma wte mr ujue shda iko wp?
  12. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Nimekuelewa vizuri san mr ila wewe mpaka sasa umefungua chakra ngapi? mana mimi sielew utajuaje kma hapa nimefungua ya 1 au ya 2 msaada ndugu
  13. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Bro unavumilia mengi hongera zako wazoee tu ila me kam kitu kina faida lazima nikifatilie nikijue kwa undani shukran kwa elimu hii ambao wanaona inawafaa wataftilia inshaallah [emoji120]
  14. Brown boe

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Sawa bro ngoj nipitie nitkupa mrejesho ntakapo kwama
Back
Top Bottom