Recent content by BROTHER OF BROTHERS

  1. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Maulizo ya kutaka kujua kwa undani

    Tofauti Kati ya Police Service ya Kenya na Police Force ya Tanzania ni nini wadau?
  2. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Hapana, kabisa Mimi si mtumishi wa Serikali japokuwa ninaitumikia jamii nje ya mfumo rasmi ya serikali
  3. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Kwa sasa bado yupo mtaani huku akiendelea kutafuta suluhisho la tatizo lake.
  4. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Ahsante Jinsi Mungu Aishivyo kaka Leo Nitakuwa naye na nitajibu hoja hii kwa mapana yake, alipata Barua ya kupangwa Kazi baada ya kwenda kituo Cha Kazi, mwajiri akampa Barua kutoka necta afike Ofisi zao.... Mpka hapo Bado Kuna Mashaka kwamba huenda kuna mtu anatumia Cheti chake.
  5. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Brother Nina Amini Wewe ni Expert, tunatafuta Nini chakufanya Huyu Ili Jamaa aweze kusaidika Ahsante
  6. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Ndugu yangu YOTE hapo yanataka maajibu au msaada wakina wa Hatua gani zakufuata bila kuvunja sheria
  7. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Naam, kwa tafsiri ya maelezo hayo kunaonekana kuna kamchezo kalichezwa Necta 2002 vyeti vyao havikuwa na picha ni index number pekee, Utata Necta ni somo la AGRICULTURAL Science kuandikwa AGRICULTURE Science kwa waliosoma masomo haya wanaelewa sana......
  8. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Tunahitaji msaada wa kimawazo na hatua za kuchukua kwa ufanisi.....
  9. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Habari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother). Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira (Ajira Potal) na kufanikiwa kuitwa kufanya usaili alifanikiwa kufanya written na baadaye oral na hivyo...
  10. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Generator Honda EG 1000

    Habari wadau natafuta Generator Used from Dubai/New Brand iwe Honda EG 1000, iwe katika condition nzuri Niweze kuitumia kwenye kibanda umiza changu. Kama Hautajali Tafadhali nicheck WhatsApp 0739115313
  11. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Nina Mke na Mtoto mmoja Mkuu
  12. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Amina Sana Father/Brother
  13. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Hata Mwl Mtei alichangia Sana Mimi kufeli Pale St kayumba manake aliniambia nisome art's Mapema Pale form III nisingepata hii Dv Mungu anamuona pia alituonea Sana kwenye Somo la Chemistry
  14. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Hongera Sana Shujaa najua watu wa 2008 wengi wapo kwenye mfumo Mungu akubariki Nitafanya hivyo Bila Kusita
  15. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Sasa Nina 35 mkuuu pia Nina family ya Mke na Mtoto mmoja Hali Kutoka Kwa Mungu pia amekubali nisome🙄
Back
Top Bottom