Recent content by Brother James

  1. Brother James

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kila mwaka wa fedha unapoanza huwa na mkeka wake, na wengi huomba kupitia mikeka hiyo hiyo na baadhi hupata na wengine hukosa. Kwani mkeka wa mwaka huu wa fedha umekuwaje? au hawakutaka muupate?
  2. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Mkuu, ninataka tuwasiliane zaidi kwa ajili ya hizo fursa ulizonazo.
  3. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Mkuu, naendelea kutathmini hizi shauri mbali mbali nilizopewa na wadau coz nimetahadhalishwa kutoingia kwa pupa kwenye hizi biashara. Hata hivyo namshukuru Mungu kamtaji kanaendelea kukua, kwa sasa nina 15milion. Nitatoa mrejesho punde nikichagua project ya kuanza nayo.
  4. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Nina Subaru nzuri tu ya kutembelea, nadhani inanitosha kwa sasa
  5. Brother James

    JamiiForums Tanzania Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Hivi, unafahamu kuwa Canada ndo supply namba moja wa mafuta kwa Marekani kwa zaidi ya 61%? Marekani hajawahi kununua zaidi ya 3% ya mafuta kutoka Russia, hivyo gap ya mafuta atakayohitaji haizidi hiyo 3%.
  6. Brother James

    JamiiForums Tanzania Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Habari za kubumba tupu. Habari hazina kichwa wala miguu. Ulimwengu wa sasa taarifa yoyote isiyo na chanzo inabaki kuwa story za kijiweni
  7. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Hapa ndo nachanganyikiwa kabisaa juu ya biashara gani itanifaa
  8. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Umezungumza vema. Twende kwenye uhalisi sasa, hivi investment ya 14milioni kwa sasa mtu ategemee kuzalisha faida ya kiasi gani kila mwezi. Ikiwezekana tutajie hizo projects zinazoweza kuzalisha hayo makadirio yako ya faida kwa mwezi au share with us projects ulizowahi kuzifanya versus faida...
  9. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Mazao gani mkuu, nipe na location na uzoefu kidogo kama umewahi kufanya. Kwa sasa kamtaji kameongezeka kidogo, Nina 14 milioni Cash
  10. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Alhamdulillah Allah kanipa ufahamu kiasi mkuu, mpaka hapa nilipofikia kwa umri wa zaidi ya miongo 3 sijawahi kukurupuka coz sina kinachoweza kunikurupusha, kwa sababu tayari maisha ninayafahamu na ninayo.
  11. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Mkuu, napendaga sana biashara kama hii ambayo capital haiathiriki kabisa, unakuwa unahesabu net profit tu kwa kiasi chochote tu. Nipe mauzoefu katika eneo hili mkuu, inbox please!!
  12. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Mkuu, lengo ni 2mil. au zaidi kwa mwezi. Chukulia hii kama sehemu ya kigezo cha biashara utakayonishauri
  13. Brother James

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Ni akiba tu ambayo na jiwekea ili nifanye biashara yenye tija (productive business) pesa ipo boss wangu na kwa sasa zimeongezeka, zimefika 13mil. Wewe nisaidie tu kunishauri cha kufanya mkuu
Back
Top Bottom