Recent content by BRO. B

  1. B

    Profesa Muhongo na debe la nyanya, Mama Salma na Wakunga wa jadi

    Gia pekee kwa CCM kufanikiwa katika uchaguzi ujao ni kujenga barabara tuu. Nje ya hapo ni ufisadi mtupu. Barabara zenyewe nadhani zitadumu hadi baada ya uchaguzi kwa sababu ni za kiwango cha chini mno. Baada ya kupata kura nani anajali tena!!!!!!!!!!!
  2. B

    CCT yamkosoa Rais Kikwete kwa kuharibu mchakato wa katiba

    CCM ni chama kinachopigana vita na ukweli. Kamwe hawawezi kushinda. Kutokana na maovu yao MUNGU amewashushia upofu - NA KWA HAKIKA CCM ITAKUFA
  3. B

    How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT)

    Huyo JR nyuma yake kuna wahindi. Kama kweli ni tajiri wa kiwango hicho kuna haja ya kugombea hatimiliki ya usambazaji wa Windhoek? Aliwahi kuwa na kesi na Breweries huko nyuma - lakini nafikiri alishindwa. Lazima mukumbuke kila kwenye dili la ufisadi ni lazima awepo MHINDI. Hao wafadhili wakubwa...
  4. B

    Picha: Wasanii walipokula chakula cha jioni ikulu ndogo Dodoma na rais Kikwete

    Mfa maji haishi kutapatapa. Ndio ccm hao.sijui kama watasalimika 2015
  5. B

    Watu masikini wasipoamka na kuweka utawala wao watateseka sana nchi hii

    Ndugu yangu hoja yako nzuri, lakini nani wa kusikiliza? Wanyonge wa nchi hii watateseka mpaka hapo CCm itakapoondolewa madarakani. Ingawaje hao watakaokuja hatuna hakika nao sana, lakini ujasiri wa kuwaondoa wabovu utakua umepatikana. Kawaida hakuna Lenye mwanzo lisilo na mwisho. Kwa bahati...
  6. B

    How mining firms are milking Tanzania dry

    Waziri wa kusoma/kuandaa bajeti tunaye ???????
  7. B

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Wakale wapi. Kama mwenge ni njia ya kuongeza ufisadi kama tunu ya taifa na iwe hivyo. Hao ndio ccm.
  8. B

    Hali ya hewa Lumumba sio nzuri, Wizi wa zaidi ya 600 ml wakipasua chama!

    Kelele za nini. Wizi ndio falsafa ya ccm. Wanapokwenda kwenye uchaguzi wananchi huichagua ccm wakijua fika wanachagua wezi. Acheni kelele - wizi kama kawa
  9. B

    Hii ndio CCM ya Kinana: Nape-Mwanza, Mwigulu-Moro, Mboni-Arusha na Makonda-Geita

    Wasome kitabu cha baba wa taifa kuhusu uongozi na hatma ya nchi yetu. Ametabiri kifo cha ccm kwa sababu wana kansa ya uongozi. Je, kansa ina tiba ?
  10. B

    MwanaJF na kamanda wa CHADEMA akamatwa kwa kosa la kuhoji bilioni200 za IPTL mkutano wa Nape SAUT

    Wahenga walisema ukicheza na -------- (ccm) atakutoboa jicho. Kwa hiyo makamanda wa cdm kuweni makini munapokutana na wapumbavu hao. Kwa hakika kifo chao ni dhahiri, swala ni muda tuu.
  11. B

    Kufilisika kwa wasaliti wa upinzani: Historia haidanganyi, Vijana tujifunze

    Nasikia Kaburu ana kacheo Fulani huko Kigoma
  12. B

    All African presidents in meeting with Obama; Kagame out

    America is a country of double standards. Even Tanzania during Mwalimu Nyerere were not in the very good books of the Americans. What Americans are saying about Kagame, they can't say about Israel. They are supporting Al-Qaeda in Syria - that is ok. But when Kagame is dealing with Interahamwe...
  13. B

    CHADEMA wahaha usiku kucha kuzuia mafuriko ya Nape SAUT!

    Tatizo la watanzania ni kukubali kuwaachia nchi wapumbavu mpaka wakajiamini kuwa wana uwezo - kumbe hamna kitu. Huyo vuvuzela wa ccm atazunguka sana, lakini anachoshindana nacho hakijui - shauri ya upumbavu. Kwa kumsaidia kama anao uelewa ni kuwa adui namba moja wa ccm siyo chadema, bali ni...
  14. B

    Yajue yote kuhusu ESCROW AKAUNTI

    Hiyo ndiyo mikakati ya rosti wa hamu katika harakati zake za kutuchagulia raisi ajaye mwaka 2015 kutoka kwenye listi ya vibaka wenzake.
Back
Top Bottom