Recent content by brivigy

  1. brivigy

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    real facts....!!!!!
  2. brivigy

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    http://www.google.com/url?q=http://www.intergalacticvault.com/top-secret-alien-technology-are-you-are-using-alien-technology-on-earth/&sa=U&ved=0ahUKEwjQ9tSZzs3PAhWDPxQKHd3wCtgQFggWMAI&usg=AFQjCNEUTBzaQ6gGVXFFHpHUJVIRbjvbwQ
  3. brivigy

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] unajua ukisoma central dogma by Albert pike ndo utagundua kuwa marekani waliruhusu interaction hiyo mapema ndo mana technolojia yao umekuwa kubwa na hakuna taifa litakalokuja kuizid nchi ya marekani au mataifa makubwa kama rusia na Israeli... yan heb jiulize kwann...
  4. brivigy

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona. eeee...technology has its own source sema watu hawajui....
  5. brivigy

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    mmyth.....mmmmmmmmhh
  6. brivigy

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    najua ni kweli unachokiongea but naomba niongezee kidgo kuhusu interaction hiyo na extra terrestrial organisms .... binadamu weng hasa wanaotokana na koo 13 za illuminant ikiwemo ya Rockefeller na rochkids family inasemekana ndo familia tajiri na zenye akili kuliko watu wote dunianai...familia...
  7. brivigy

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Udaktari st.Francis University college of health and allied science..Ifakara..

    habarini wapendwa wana JF.yapata mwezi au miezi miwili sasa tangu TCU watoe tamko lao rasmi kupitia kitabu chao cha mongozo wa kudahili na kuomba vyuo yaani TCU guidebook kuhusu kuvisimamisha vyuo vitano kama sikosei kuhusiana na sababu mbalimbali zilizopelekea kwa vyuo hivyo kusitisha udahiri...
  8. brivigy

    JamiiForums Tanzania Tarehe 5 Imepita, NACTE Mbona mpo kimya tena tuwaeleweje??

    kani deadline tayr nacte...?? make ndo kwanza nataka nimshawishi dogo langubaombe
  9. brivigy

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    saga septrin za buku halafu uchanganye na mafuta mgando..uwe unalala sehemu yote kwa muda wa week mbili then usipopona leta mrejesho hapa...
  10. brivigy

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    tumia fluconazole pesselies 200mg .dozi mzima na contra indication hapo usifanye mapenzi ndani ya dozi ya fluconazole pessel 200mg ..ukifanya bas ujue umeharibu tiba hapo lazima uanze upya dozi..vaginal candidiasis huruhusiwi kufa ya mapenzi ukiwa kwa dozi...wanWake wengi sana hawaponi kwa...
  11. brivigy

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    tumia mchanganyo huuo nilioutaja hapo juu halafu bada ya week 2 ulete mlejesho
  12. brivigy

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    una kitu kinanaitwa rectal prolapse...nenda hospital ufanyiwe rectal examination na mambo yatakuwa poa
  13. brivigy

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    unavisaga vidonge halafu unachsnganya na mafuta mgando a in a ya baby care halafu inakuwa unapaka ile sehemu iliyoathirika
  14. brivigy

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    kwani as aleji na mafuta ya mgando au huwa hajipaki mafuta mgando...but najua kuna watu hawana moody na mafuta ya mgando but at least awe anjipaka usiku wakati wa kulala halafu akiamka asubuh anaoga ndo anaenda kwenye mishe mishe...inatosha kujipaka usiku tena akilala dawa inakuwa active...
Back
Top Bottom