Recent content by brightrich

  1. brightrich

    JamiiForums Tanzania Swali la leo

    Hayafai hata kumpa mgonjwa maana ataweza kufa kwa hayo matunda. Matunda yapo ila wanayatumia wachache. Utaambulia makapi ya hayo matunda ambayo huwezi kupata juice labda ulambe tuuuu
  2. brightrich

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha diamond platinumz!

    Mbavu zangu mie jamani!!!! Daaah!! Kweli hiki kizazi cha JK ni full majanga.... kwa majibu haya lazima division 5 iongezwe:smile-big::smile-big:
  3. brightrich

    JamiiForums Tanzania Mabint wa kimarangu

    Hivi huyo mmoja aliyekuacha baada ya kuchacha ndo unafananisha na wengine?????? Wamarangu nawafahamu kuliko wewe, sio wote wenye tabia hiyo, fanya uchunguzi wako vizuri ila nakupa pole kwa yaliyokukuta KALUBANDIKA:shock::A S embarassed::embarrassed:
  4. brightrich

    JamiiForums Tanzania ulinzi kamili

    Baba Mwanaasha tunamlinda kwa maombi, vitabu vitakatifu vinasema 'Mungu asipoulinda mji, waulindao wafanya kazi bure'.
  5. brightrich

    JamiiForums Tanzania Wachagga malimbukeni wa mapenzi, wanaua na kujiua

    Nakuunga mkono Kiboje, wabadili msemo, wamachame wanapenda mali kuliko uhai wa mtu, U44444 ni Machame moja alidhulumu mali na huyu Munisi kadhulumiwa....... machame ni watu wa kukaa nao mbali sana, na wanapenda kutawala mali wasizozitokea jasho, kumuua mtu au kumtoa mtu ndani ya nyumba yake ni...
  6. brightrich

    JamiiForums Tanzania Majina, misemo na maneno kwenye khanga

    MMmmmh huyo atakuwa mwanamke wa Mwananyamala!!! Maana hao kwa misemo ni balaa!!
  7. brightrich

    JamiiForums Tanzania Hekima inaonekana hata kwa appearance ya mhusika

    haya bwana!! Heri mimi sijasema!
  8. brightrich

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa sir god

    Hahahahaha! Na bado hayo ni manyunyu, kuna kuja division 6 this soon.:smiling:
  9. brightrich

    JamiiForums Tanzania ni swaga tu jamani

    He's so cute
  10. brightrich

    JamiiForums Tanzania wew wasemaje?

    Daaaah is true, kwa upende wa mwanamke inauma sana ila akishaikubali hali mmmmhhhh! you won't believe ni full shangweeee!! kama mlivyoona kwenye picha! englibertm uko sahihi kabisa​:amen:
  11. brightrich

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu na ufunguo wa maisha

    Mmmmmh na hapo wanategema 'Big Result Now' kwa mtindo huu hakuna kitu!
  12. brightrich

    JamiiForums Tanzania Habari zenu waungwana ujumbe wangu wa leo asubuhi huu hapa

    Daaah hii nimeipenda sana, MAPENZI YAHASHIKILIWI KWA PLASTA, King'asti hili nalo neno! Maana plasta huwa inaishaga nguvu na huchakaa so haina budi kuachia. hahahhaahah!
  13. brightrich

    JamiiForums Tanzania kauli mbiu ya wanawake wa kizazi kipya

    Jamani, tumshukuru sana Mungu kwa uumbaji wake, hakuna anayependa kuzaliwa hivyo, yote ni uumbaji wa Mungu, sura sio chochote kinachohitajika ni tabia njema na hofu ya Mungu tuu! Acha kumkosoa Mungu kwa uumbaji wake!
  14. brightrich

    JamiiForums Tanzania wachaga why?????

    Moley Molly- Mbona Majanga??? :help:
  15. brightrich

    JamiiForums Tanzania Picha: Inawahusu CCM tu

    Ni mbulula na sio Mburula, Arusha big up sana, wameshaona mbali wamechoka kudanganyika, viva Chadema Viva, kwa nguvu ya wananchi tutaweza!!!!!
Back
Top Bottom