Recent content by brighton2011

  1. brighton2011

    Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi ya kusoma diploma yoyote?

    Mm ni mfanyakazi tayal serikalin hapa najiendeleza hivyo nilibanwa na majukumu
  2. brighton2011

    Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi ya kusoma diploma yoyote?

    Kweli nimepiga PC sasa kurisit ni masomo niliyofel au au yote ?
  3. brighton2011

    Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi ya kusoma diploma yoyote?

    Sawa matokeo yangu ya form six ndo hayo hapo niliyosema je nikirisit ni vibaya?
  4. brighton2011

    Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi ya kusoma diploma yoyote?

    HGK,matokeo ya form 4 nna division four pnts 26
  5. brighton2011

    Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi ya kusoma diploma yoyote?

    Matokeo ya form 4 Nina division 4 points 26 kwa maana HISTORY C,GEOGRAPHY D,KISWAHILI D,CIVICS C,LANGUAGE C,BIOLOGY D,BASIC D.
  6. brighton2011

    Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi ya kusoma diploma yoyote?

    Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu nimepata IV point19. Nina principal moja na F zote. Sasa nauliza naweza kusoma diploma? Je naweza kupata cheti na kama kurisit narisit masomo yote au yale niliyofeli? Naombeni msaada wanaforum
  7. brighton2011

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Wewe unabisha kaandamane ukione ndo utajua polisi wakoje!kwanza majeshi yote duniani hulinda chama na serikal iliyoko madarakan sasa kwa nn nyinyi watu wa Tanzania mnawalaumu askari wetu?upinzani hatukatai lkn mnapovuka mipaka lazima mpigwe tu na hatuna namna nyingine tumechoka sasa kuskia...
Back
Top Bottom