Toka nilipomaliza chuo, nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa ya kujua wapi nitapata taarifa za kazi mpya na ni platform gani nitumie kutuma maombi yangu.
Changamoto kubwa ninayoiona huku mtandaoni, hasa kwenye baadhi ya websites zetu za Tanzania, ni matangazo mengi sana (too many ads)...
TOP 5 WEBSITES ZA KUTAFUTA KAZI TANZANIA 🇹🇿
Toka nilipomaliza chuo, nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kujua wapi nitapata taarifa za kazi mpya na ni website gani nitumie kutuma maombi yangu.
Changamoto kubwa ninayoiona kwenye baadhi ya websites zetu za Tanzania ni matangazo mengi sana (too...
I think changamoto kubwa, inakuwa pale kwenye vyanzo au sources ya kuona hayo matangazo.... kama kungekuwa na centralize point ya ajira zinazotangazwa na private sector au makampuni mbalimbali, i think ingekuwa vyema sana .... hizi za ss hivi ambazo zipo hazifocus pia na job seeker experience...

I highly recommend besttalentreach, The Guys wapo vzuri sana, na wako straight hamna bs, ads, wala mambo mengi, Fresh jobs kila siku, Five stars .... besttalentreach.com ... wanakuja kwa kasi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.