Recent content by Briela

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake ambao hawajaolewa: Kukaa bila mume kuna madhara yoyote?

    Sina mtoto wala sipo kwenye ndoa ila nakushauri fanya kinachokupa furaha..hizi ndoa watu wamechukulia ni lazima wakati sio kweli. Ndoa ni paradiso ndogo ndugu yangu tofauti na hapo achana na ndoano kabisa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

    Hatutamani mwanaume kingono Kama nyie..sisi tunavutiwa tu na phyical apearance tena mara nyingi mnoo hasa ulienae akiwa wa kawaida. Unakutana na mkaka road yuko vzuri balaa yaan anavutia smart ananukia afu yuko busy haonyeshi shobo..unakuta mmekaa siti moja labda kwa gari haangaiki kukusumb ua...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amefuatilia mawasiliano yangu kupitia simu kwa miezi mitatu

    Mke mnyonge uyo! Kunya anye kukueeh.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    Sasaa ushauriwe nini? Afu utakua umeoa mwenye tako ww[emoji23] pambana na pisi kali yako sasaa inalea watoto ovyoovyo.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

    Lazima uje kupiga risasi uyo..utanambia
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

    Endeleeni kuoa machaguo ya macho yenu..hivi mwanaume kabisa kamili unafeli wapi kuchagua ke bomba ikakusaidia majukumu? Au ndo hizi ndoa za kukurupuka...yaan mi ngekua mwanaume nisingefeli kupata mke.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukimpata mtu mwenye libido sawa na wewe, umeula

    Ndomana mwafula alitaka kunifanya mchepuko. Mungu akaingilia kati.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Understanding your woman

    Sijui mume wangu ajaye anayajua hayaa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

    Kipindi nasoma chuo flani kuna mkaka nilikua Kila nikimuona Yuko smart balaa..Muda wote kapendeza miguuni anavaa soksi na asipovaa mguu ni msafi sana. Yaan alikuaga Kama hakanyagi chini Wala hanyi..Alikua anajipenda sana Kila ukikutana nae ni Kama ametoka kuoga anaenda mahali. Alikuaga...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Duuh mwanaume gani unamuongelea hapo? [emoji23][emoji23]
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mvivu sana

    Wanaume hawajui kuna wanawake hatuwez kamwe kukuhudumia kama mume wakati hujaoa..yaan ww ni mpenzi tuu alafu unataka nikufulie nipike nideki kwako nikupe game Kila ukitaka foolish!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayomsukuma mwanamke kwenye mahusiano, ni umasikini

    Wanawake 90% wakiwa na pesa za maana hawawezi kamwe kua wife material. Mwanaume unaejielewa tafuta pesa uoe mwanamke wa hadhi yako. Mimi siwezi kuolewa na fukara mwenzangu wakati kuna mtu ana maisha anataka kunionyesha dunia upande wa pili ipoje. Hakuna mtu hapendi pesa hata wanaume wanapenda...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaume hatujawajulia tu

    Icho ndo kinanifanya nisione umuhimu wa kua sexslave...yes uo ni utumwa wa ngono wa hiari, yaan umridhishe mwanaume kwa kumpa muda wote!! Nani kasema?? Hivyo vya ghafla na vya fasta huwa ni kumridhisha mwanaume tuu ila mwanamke utakuta anasubir me akojoe aendelee na Mambo yake. Kila mtu anaweza...
Back
Top Bottom