Yani kupitia ur comment, inaonesha wazi the lowest the level of Logic ambayo ipo kwenye kichwa chako
Kwanza wewe ndio upo BIASED sababu nkipitia comment za wadau, unapinga comment zingine ambazo ni facts na za kweli. Ushajiwekea kupinga chochote na ushaweka ur say as final.
Turejee kwa upande...
NOTE: HII COMENT HAIJAANDIKWA KWA MADHUMUNI YA KUJISIFIA BUT NATAKA NKUFUNGUE AKILI, I GUESS YOU WILL LEARN A FEW THINGS
Mimi ni mtoto wa professor kwenye moja ya reputable universities hapa nchini
First, jifunze kutofautisha Flashy life style (maisha ya online) na Humble lowkey life style...
Bei ya jumla kuanzia dozen,12+ pieces ni 1,500/= per piece
Reja reja bei zina differ kwa zenye chuma ni 5,000/= kwa piece, lakini ukichkua piece mbili ni 4,500/= per piece
Kwa ambazo ni leather tupu, na hazina chuma, kwa piece ni 4,000/= lakini ukichkua piece mbili ni 3,500/= per piece
Karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.