Dah,yani kwa uandishi huu tu na hizi regrets zako unaonekana bado unampenda saaana mkeo basi tu wanaume hua mnajisahau kwa wake zenu mnahisi mkituweka ndani basi ndo kila kitu embu mpe muda kidogo ajitafakari ila usimuache please
Unadhani hata kama hayuko kazini anaweza kwenda kwa LIVINGSTONE tena?
Huko aliko hata yeye anajutia saana tena ukute anafikiria namna ya kurudi kwake anaogopa
Bado anampenda mke wake,sio vibaya kama inawezekana embu ampe nafasi nyingine walee watoto weo lakini wanaume mjue hili hadi mkeo anatoka nje ujue wewe ndo sababu kubwa hivyo wakae chini waongee kama inawezekana...sema na moyo wako pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.