Recent content by Brayan_Jk

  1. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji Wengi Wa Kuku Wanalisha Kuku Waliokufa!!

    Unamaanisha kwamba ukiwazidishia chakula cha mayai(quantity kubwa) kwamba hawatonenepa na kupata prolapse kwa baadhi?
  2. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji Wengi Wa Kuku Wanalisha Kuku Waliokufa!!

    Ndio ndio
  3. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji Wengi Wa Kuku Wanalisha Kuku Waliokufa!!

    Shukran kiongozi
  4. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji Wengi Wa Kuku Wanalisha Kuku Waliokufa!!

    Kwanini?
  5. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji Wengi Wa Kuku Wanalisha Kuku Waliokufa!!

    Changamoto
  6. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji Wengi Wa Kuku Wanalisha Kuku Waliokufa!!

    Sio upumbavu,pia ni kujisahau,kuku 10 kwenye 500 ni kama 2% wengine wanaona ndogo sana
  7. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji Wengi Wa Kuku Wanalisha Kuku Waliokufa!!

    Mdogo mdogo,watu wanabadili tabia
  8. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji Wengi Wa Kuku Wanalisha Kuku Waliokufa!!

    Kila Mfugaji wa Kuku anaelewa kwamba karibia 70% ya matumizi huwa ni Chakula cha Kuku, Lakini cha kushangaza ni wafugaji wengi wanalisha Kuku waliokufa. Kipindi naanza Ufugaji wa Kuku nilijiuliza sana je ni njia gani ambazo naweza kutumia kupunguza gharama ya Chakula, Idea zilikua nyingi ikiwemo...
  9. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Ndio,hatujaweka gharama za antibiotic na madawa maana kwa wengine magonjwa yanaweza yakaingia na kwa wengine yasiingie,hiyo ni gharama bila madawa,ujenzi,maji na mishahara
  10. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Habari Boss,gharama ya kuku mmoja kwa mwezi inategemea kama unaanza ufugaji au unaendelea Kwa gharama ya Kuku mmoja kama ndo mara ya kwanza unaanza ufugaji wa broiler ni around Tsh 6,800 (ukianza na kuku 300) bila kuweka gharama ya ujenzi,mishahara na madawa(kama wakiumwa) Unaweza kufanya...
  11. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufuga Kuku wa Chotara(Sasso) na Kupata Faida nzuri,mayai zaidi ya 300 kwa muda wiki 75!

    Wana JF,Za masiku? Watu wengi wanatamani kuanza Ufugaji wa Kuku na wanatamani wakianza kufuga Kuku wasikutane na majanga ya Kuku zao Kufa au Kudumaa au ukuaji hafifu! Ukija kuangalia watu wanaogopa kufugua broiler maana wanakufa kiurahisi na pia hawapendi Kufuga Kuku wa kienyeji maana ukuaji...
  12. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

    Shukran, karibu
  13. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Tunawashukuru Wafugaji wa Kuku kwa hili🫶🏾💚

    Karibu boss
Back
Top Bottom