Recent content by Bray1

  1. B

    Bayport yapunguza makato.

    lengo langu si kupata mtu lengo langu ni kukushauri wewe kuhusu kinachoendelea bayport kwa sasa, naamini nawe utakuwa mjumbe mzuri kufikisha ujumbe ila kabla haujaufikisha naomba uufanyie utafiti wa kutosha nawe utakuwa msaada kwa wengine.
  2. B

    Bayport yapunguza makato.

    ndugu yangu nenda kwenye ofisi za bay port utapata maelezo ya kutosha na naamini baada ya hapo utayaafiki maneno yangu,
  3. B

    Bayport yapunguza makato.

    ndugu jua hata mabenk yalikuwa ivoivo pindi walipoanza kukopesha lakn kulingana na malalamiko ya wananchi na serikali kuingilia kati wakapunguza riba zao na hicho ndicho bay port ilichofanya.
  4. B

    Bayport yapunguza makato.

    ndugu yangu ndo mana nimeeleza vizuri mwanzoni kwamba tuwe tunajitahidi kuwa na information za kutosha na jua ile ni taasisi binafsi, hata mabank nayo mwanzon yalikuwa yanaumiza sana watu hadi hi leo hasa kwa wale wanaoweka dhamana ya mali ziszoamishika kama nyumba na viwanja hao bado wanaumizwa.
  5. B

    Bayport yapunguza makato.

    nenda kituo chochote cha bayport kwa maelezo zaidi ndugu yangu.
  6. B

    Bayport yapunguza makato.

    huu ni ukweli ndugu yangu nenda ofisi yoyote iliyokarbu nawe ya bayport kwa maelezo zaidi, maana kuuliza si ujanga, hiyo itakusaidia wewe na wengine wote wanaokuzunguka, asante.
  7. B

    Bayport yapunguza makato.

    naposema kulingana na mshahara ni kwamba mtu hawezi kukopa milioni50 wakati mshahara wake ni laki tatu unazani utamkata kiasi gani kama si kumuumiza, jua hatuna amana wala dhamana, na tunakata robo ya mshahara wa mtu hiyo robo ndiyo tunayoangalia tunaweza kukukopesha kiasi gani na kwa muda gan.
  8. B

    Bayport yapunguza makato.

    ntamaholo;ata mimi mkuu. Ni wezi sana na wanatumia mke wa mkapa kuiba. Sijawahi na sitothubutu. Mpango mzima ni kwa kimei tu ndugu yangu serikali imeingilia hili suala kati na masharti yamewekwa.
  9. B

    Bayport yapunguza makato.

    Kwa sasa mtu anaweza kukopa kulingana na mshahara wake si kama zamani na tunakata robo tu ya mshaara, hiyo inatokana na masharti yaliyowekwa na serikali, na ikiwa utazidsha basi system itakataa, vinavyohitajika ni copy ya kitambulisho cha mfanyakazi, bank statement, salary slp na copy ya ATM.
  10. B

    Bayport yapunguza makato.

    Mimi ni loan officier wa bayport mkoa wa arusha, napenda kuwajulisha bayport tumepunguza makato na kukuwezesha wewe mteja wetu kunufaika. Mfano ukikopa laki tano kwa miezi sita utarudisha laki sita na kumi, ukikopa milion kwa miezi sita utarudisha milioni na laki mbili na elfu ishirini, tofauti...
Back
Top Bottom