Recent content by Bravo320

  1. Bravo320

    Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

    Ukimsikiliza yule nusura wa ajali, alivyokuwa akisimulia, kuna ukweli Fulani wa hili. Alisema, wakati wanazunguka Angani, Rubani mmoja alitoka katika chumba Cha Marubani, akaja huku kwa abiria, akamwita Air Hostes akawa anamnong'oneza kitu, Kisha akawa anachungulia nje ! Kuna uwezekano alikuwa...
  2. Bravo320

    Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

    Kumbuka Ndege ilitokea Dsm, Non Stop. Possible mafuta yalikuwa yamepungua Sana
  3. Bravo320

    Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Huwezi kufungua mlango wa Ndege kwa kupiga na eti Kasia, never, hata wa gari tu huwezi kupiga na kasia ukafunguka,. Mlango ulifunguliwa na wafanyakazi wa Ndege, sema majaliwa alikuwa Kati ya watu wa Kwanza kufika pale, na kusaidia watu wengine kutoka ndani ya Ndege. Na wakina majaliwa walipofika...
  4. Bravo320

    Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

    Rubani ni mtu anayetakiwa kuwa, Physical and Mentally Fit muda wote, Rubani anatakiwa asiwe na Stress wala Hali yoyote ambayo itamsababishia kero yoyote kichwani kwake, ili isiwe rahisi kwake kufanya makosa ya Kibinadamu (Human Error) kwa Urahisi. Kurusha Ndege Ni kitu Sensitive Sana, Siyo...
  5. Bravo320

    Nimefuatilia sana hii ajali ya ndege ya Bukoba ila sijaona mawasiliano kati ya rubani na muongoza ndege aliyeko uwanjani wakati ndege inataka kutua

    Mawasiliano ni lazima yalikuwepo, Kati ya Rubani na Control Tower (ATC) yaani Air Traffic Control, lakini Sasa, sisi hatuwezi kuyapata kirahisi, Kwanza Ni lazima yawe Downloaded kutoka kwenye CVR, Cockpit Voice Recoder, hiyo ni Black Box, Au yawe Downloaded kutoka kwenye Air Traffic Control...
  6. Bravo320

    Miaka inavyozidi kusonga ndivyo waafrika wanazidi kuwa wapumbavu

    Najaribu ku Focus, Miaka 20 ijayo itakuwaje, maana kila mwaka naona Kabisa tunazidi kushuka kimaarifa na kielimu, yaani Graduated wa Sasa hivi, huwezi hata kumlinganisha na Middle school wa zamani, Kuna Kitu hakipo Sawa. kuna mambo yanafanyika mpaka unashangaa Kama kweli yanafanywa na watu...
  7. Bravo320

    Pre investigation thoughts; nadhani moja ya sababu hizi ndio ilipelekea ndege ya Precision Air kuanguka ziwani

    Kabisa, Yule Pilot wa Air France alikuwa anaitwa Bonin, Jamaa alikuwa kilaza Sana, aliua watu wote, kwa sababu ya Uzembe wake tu..
  8. Bravo320

    Pre investigation thoughts; nadhani moja ya sababu hizi ndio ilipelekea ndege ya Precision Air kuanguka ziwani

    Uchunguzi Ni lazima ufanyike, na majibu ya chanzo Cha ajali Ni lazima kipatikane, hii Ni kwa sababu Kwanza kuweza kuzuia ajali Kama hiyo, isiweze kutokea tena, pili Kama Ni Pilot Error, kwa maana ya Human Error Basi, marubani waweze kupewa mafunzo zaidi kulingana na hali halisi, pia Kama sababu...
  9. Bravo320

    Pre investigation thoughts; nadhani moja ya sababu hizi ndio ilipelekea ndege ya Precision Air kuanguka ziwani

    Championship, Upo sahihi haupo mbali na ukweli, kilichosababisha hii ajali kwa kuangalia haraka haraka Ni " stalling" au Loss of Lift ya Ndege, Ukiangalia utaona Rubani alikuwa kwenye low Attitude, na Speed ilikuwa ndogo, alikuwa anatafuta uwanja auone Kwanza ili aweze kutua, Sasa kutokana na...
  10. Bravo320

    Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    Kuna uwezekano mkubwa wa "Human Error" katika hii ajali, nakaribu asilimia 90 za ajali za Ndege duniani ni Human Error, makosa ya Kibinadamu. Na human Error inakuja pale kukiwa na mchanganyiko wa vitu vingi, mfano pale hali ya hewa ilikuwa mbaya, Rubani Kama binadamu akalazimisha kuwa na Option...
  11. Bravo320

    Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    Hakuna Utaratibu wowote wa kwamba Ndege ikishindwa kutoa matairi basi ikatue kwenye maji, never. Ndege ikishindwa kutoa matairi inatakiwa itue Airport pale pale, labda tu, kando ya Runway kwenye majani. Kwenye Maji ndio mbaya zaidi
  12. Bravo320

    Aina ya ndege ya Precision iliyoanguka iliondolewa kuruka Marekani

    Sina uhakika Kama Marekani wali zi fase out hizi ndege Aina ya ATR, lakini ni kweli kwamba ajali nyingi ya hizi ndege duniani, zimetokana na hali ya hewa mbaya, Kuna uwezekano Mkubwa kuwa hizi ndege haziwezi kuhimili hali mbaya ya hewa, hata uki Google utaona.
  13. Bravo320

    Aina ya ndege ya Precision iliyoanguka iliondolewa kuruka Marekani

    Human Error, Rubani alishawatangazia abiria kuwa, hali ya hewa siyo rafiki, na Ana taka ku Divert kwenda Mwanza Airport. Sasa kilichomfanya ajaribishe kutua Ni kitu gani ? Ndege siyo gari, kwamba unajaribisha kuvuka kwenye tope likikwama utavutwa, ndege Ni shughuli nyingine !, Uki fell ku...
  14. Bravo320

    Nahitaji Marshalling Wands

    Nahitaji zile taa za fimbo za kuongozea magari, zile fupi. Mwenye nazo nahitaji sana
Back
Top Bottom