Recent content by Bravo030

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Mmetuangusha sana leo sasa kwa nn hamjaandamana?
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

    Ule ulikuwa ni mchezo tu walitaka kutucheza watanzania tukawastukia sasa hvi wako nyuma ya nondo wajinga wale.
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Yaan mna upeo mdogo sana wa kufikiria
  4. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Mi nadhan jibu mmepata leo maana kama CCM wangekuwa wameshinda kwa kuiba basi watu wangetoka barabarani kudai kura zao zilizoibiwa lkn ukimya uliotokea ni wazi unaonesha CCM ameshinda bila kuiba kura ya mtu yeyote.
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

    Bado hawatoliona na hilo yaan hawataki kuamini kama Watanzania wamechagua maendeleo.
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Watanzania mbona waoga hivi, tatizo ni nini?

    Na nyumban uage kabisa yaan
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Watanzania mbona waoga hivi, tatizo ni nini?

    Mzee tunaomba ripoti ya maandamano
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Watanzania mbona waoga hivi, tatizo ni nini?

    HAHAHAHHAHAHHAHAHA kashuka bila chochote hahahahaha hujaona kashuka na gwanda zake hapo
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Kwa kilichotokea leo kama bado hawajawaelewa watanzania basi watakuwa mabolizozo. Watanzania tumeamua kusimama na Magufuli wao wakubali au wakatae Tanzania na Magufuli tu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Huwez ukawa mtanzania alafu ukamchukia Magufuli kwa namna alivyoinua nchi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Na hapo ndipo wanapofeli sasa
  12. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Wewe ndie humpendi mzee ila Watanzania wanampenda
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

    Chama walishakiua kilichobaki sasa hvi ni kikundi
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    Wanastahili kabisa kwa sababu walikuwa wanahamasisha uvunjaj wa amani nchini.
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Akimaliza kuota ataamka then maisha mengine yataendelea
Back
Top Bottom