Recent content by brainmuscut

  1. B

    Binti asimulia watanzania wanavyotumikishwa kwenye madanguro China

    hivi wanapo muona mchina mwenye nchi yake anuza vyuma gerezani kariakoo wanahisi kwanini kaja huku Mimi mtz yoyote alieko India, China, Malaysia, afu anakwambia anatafuta huwa na mshangaa Sana unashindwa kushiba kwenye sinia ushibe kwenye kijiko
  2. B

    TMT show ya kina Monalisa on ITV

    hahaaha wanataka wawe Kama madam ritha ili nao wamtoe jumanne idd
  3. B

    TMT show ya kina Monalisa on ITV

    ungewakosoa Mona na Richie lakini sio Roy mbona ndo roho ya Yale mashindano binafsi naimani ataipeleka mbali tasnia ya filam yaani yule jamaa simpingi miaka 1000 tena huyo kitambi jb haingii kwa Roy wema na jb hadhi yao saint kayumba Roy ni kiwango kingine
  4. B

    Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

    naomba kama binamu atapita hapa aanzishe uzi wa mama ubaya. Alivyojitapa kuwa nae ataenda la kumbe ziki tupuuuu
  5. B

    Kipindi cha njia Panda

    azipate wapi mi fix kibao hata mtt mdogo anakushitukia yaani kunasehemu hadi alikuwa anabug inabidi wapige tangazo sasahiv eti wanauza tape Zake sasa sijaelewa wanataka kuwafunza raia ushirikina nini
  6. B

    Picha ya mama Wema

    kwa alieko instagram hili jambo litakuwa limewafurahisha wengi mno coz hizo team zilikuwa zimegeuza insta yakwao yaani ole wako umlekebishe wema hata kwa mazuri basi wata screen shots pic zako utatukanwa weeeee kila tusi Kajala walimwambia amelala na baba yake huyo penny sasa eti kuna mwingine...
  7. B

    Kipindi cha njia Panda

    Mimi huyo bwana toka story imeanza nimekua mzito Sana kumuamini hasa pale aliposema kasema amekutana na shetwani mkuu dah ...... nasaivi naona imegeuka biashara tayari hapo ndo nikapoteza imani kabisaaaaa
  8. B

    MTV Music Awards June 6th, 2014

    jielewe wewe huyo ng'ombe ulo mtaja anavionjo gani wewe unavyodhani studio zilezile kisaka sijui buhemba record minyimbo yake yote mitishamba si bora hata ungesema mziki wa dogo jack wa jagwa music ama seven surviver wa kina marehemu juma mpogo kidogo ninge kwelewa mziki wa asili aliimba baba j...
  9. B

    TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

    nimepitia ukurasa wa zamaradi mketema instagram amepost pic ya mzee small kafariki
  10. B

    MTV Music Awards June 6th, 2014

    eddo kumwembe nanunua mwanaspot kwaajiri yako tu aisee we unajua sana
  11. B

    Ugomvi wa Wema na Kajala umefikia mwisho

    yupo ila kabadili username anatumia @kiroho_safi kamchek hana jipya lakini
  12. B

    Ugomvi wa Wema na Kajala umefikia mwisho

    Jipange kalud yupo na username yake ni kiroho safi ila sikuizi kuaccept raia nimuoga kinoma navi T-shirt vyao vya babalace sijui wachapishia pugu kinyerezi ili wawauzie wagogo hiyo nembo yenyewe ya teambibibomba kama mhuri wa ng'ombe yaani T-shirt haijavaliwa chafuuuuu..... basi utakuta mazuzu...
  13. B

    Ugomvi wa Wema na Kajala umefikia mwisho

    tema mate chini wewe wale wauza kabang bado hawajapatana hata kidogo labda huo uwe moja ya miujiza ya mzee wa Hummer
  14. B

    Chris Brown atoka jela

    dah..... mi mwenyewe nishaacha kitambooo...... sana
  15. B

    Mchango Mh Joseph Mbilinyi(Sugu) toka amekuwa Mbunge kwa vijana wanao tegemea sanaa kama ajira

    HABARI KAMA HIZI ZIMAAAAAAAAAAAAAAAA mleta mada yupo kisiasa zaidi na kaegemea upande wa wafu fm
Back
Top Bottom