Recent content by Brain Computer

  1. B

    Kwanini JamiiForums hamtaki kuanzisha AI yenu?

    Kwa mtazamo wako Kaka, kati ya DeepSeek na ChatGPT, ipi unaona ni bora zaidi na kwa nini?
  2. B

    Wataalam, Msaada Tafadhali

    Muuuh Hapo Chief Mkwawa anahitajika Kwa Msaada zaidi
  3. B

    Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

    Ni kweli mimi pia ni mmoja wa wanaokutana na tatizo hili. Ningependa kusikia kutoka kwa members wengine — kwa upande wa kisayansi hili jambo linaelewekaje na sababu zake ni zipi? Hebu mtu atueleweshe kwa kina ili sote tufaidike kwa maarifa.
Back
Top Bottom