Recent content by boymakini

  1. boymakini

    JamiiForums Msaada wana jamvi

    Habari wana jamvi. Mimi nimuhitimu wa kidati cha nne (2017) nimebahatika kupata Division 4 ya 31 lengo langu nahitaji kusoma chuo. Naitaji kuwa Producer(Film,Tv station, & Radio) Ningependa mnisaidie. Nichuo gani naweza soma na nikajiendeleza kimasoma kwa nafasii hii ninayo taka kusomea.Asanteni...
Back
Top Bottom