Habari za muda huu wakuu,
Nipo mbele yenu kutoa ushuhuda wa jinsi jukwaa hili lilivyoleta mwanga kwenye maisha yangu.
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa hapa nilipo naamini kusudi lake na matakwa yake yamenifanya nifike hapa leo hii.
Mimi ni kijana nilimaliza degree yangu ya...
Siwezi kusema ni uongo au vipi lakini ukiangalia inamaanisha tz nzima yeye pekee ndio katumiwa maana kwenye magroup yote hakuna mtu mwingine wa Dss anaesema katumiwa text
tusiwe na presha Dss hapo anza kuhesabia kuanzia december, january au february ndio wataanza kuita mwaka jana aptitude ilifanyika mwez wa 12 lakini oral watu waliitwa february
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.