Recent content by boy from toronto

  1. boy from toronto

    JamiiForums Msaada ndugu zangu hasa madereva

    Ahsant mkuu
  2. boy from toronto

    JamiiForums Msaada ndugu zangu hasa madereva

    Ni kweli mkuu lakn kule siwezi kupata experience so nikishajua ndio nitaenda kule
  3. boy from toronto

    JamiiForums Msaada ndugu zangu hasa madereva

    Mimi sio dereva lakn ndoto yangu ni kua dereva hivyo natafuta kua msaidzi kwanza wa dereva
  4. boy from toronto

    JamiiForums Msaada ndugu zangu hasa madereva

    Ahsant mkuu shukran sana
  5. boy from toronto

    JamiiForums Msaada ndugu zangu hasa madereva

    ndoto yangu ni kua dereva lakn bado sina uzoefu wowote na sio dereva nataka kua tingo kwanza
  6. boy from toronto

    JamiiForums Msaada ndugu zangu hasa madereva

    Mimi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi au connection kuweza kupata kazi za magari hasa makubwa ya masafa marefu naipenda sana kazi hii ila cjui taanzaje au wapi tafanikisha ndoto yangu. Hivyo kwa yeyote anaefaham au anawza kunisaidia au ushauri namba yangu ni 0688433945. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom