Kaka oa, hata ukioa unaempenda siku 90 zikiisha unaweza kumkumbuka huyo uliejiridhisha anafaa kuwa wife material. Ndoa ni zaidi ya ngono nimejifunza ilo.
Baba zetu wengi wamewaoa mama zetu sio kwasababu waliwapenda Sana, Ila ni kuwa na mke atakae kupa familia bora
Sex zinapatikana, kwa Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.