Recent content by Bowie

  1. Bowie

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

    Abdullah Bulembo
  2. Bowie

    JamiiForums Tanzania Serikali impe angalizo Jerry Silaa, namuona anaiingiza Serikali katika mgogoro mkubwa wa kulipa fidia!

    Huyu ni showoff Minister very soon Madame President atanpiga chini
  3. Bowie

    JamiiForums Tanzania Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

    Je unajua kikundi cha Hamas kiliasisiwa na taifa la Israel
  4. Bowie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha mkutano wa dharura wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa

    Katibu Mkuu wa CCM
  5. Bowie

    JamiiForums Tanzania Mbowe na siasa zake za "I am the only negro incharge in here"

    Mbowe ni kiongozi mwenye akili sana hata Nelson Mandela aliiaacha siasa za vurugu na ANC ikaweza kutawala South Africa.
  6. Bowie

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliotemwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Naibu Waziri Mkuu Msukuma
  7. Bowie

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

    Viva Samia Viva CCM
  8. Bowie

    JamiiForums Tanzania Jinsi suala la bandari linavyoidhalilisha na kuichafua LHRC

    Hizi viela vya wafadhili vinafanya hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu wapumbavu
  9. Bowie

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu ni watu hatari sana kwani wakati hawa watu wanapotoa lugha za matusi na hatari kwa viongozi wakuu wapo kimya lakini Serikali inapochukua hatua ndipo wanakimbilia vyombo vya habari na kutoa porojo za ovyo
  10. Bowie

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kiuchumi kwenye Sakata la Bandari

    Hii sakata la bandari lina vita kubwa sana za kiuchumi kati ya UAE na nchi ya Belgium katika kuthibiti madini ya DRC. Hivi karibuni serikali za UAE na DRC waliwekeana mktaba mkubwa wa uchimbaji na ununuzi wa madini ya DRC. Bandari ya Dar es Salaam kwa kiasi kikubwa itanufaika na hii biashara...
  11. Bowie

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia anaendeleza ukatili wa Hayati Magufuli kwa kukamata Wakosoaji wa Mkataba wa DP World

    Huyu Tundu Lissu ni hatari sana kwa usalama wa Tanzania kwanini Serikali inamruhusu mkimbizi anayeishi Belgium kufanya siasa hapa Tanzania
  12. Bowie

    JamiiForums Tanzania BANDARI: Unyama unaofanywa siyo mpya, lakini haki itasimama

    Acha ujinga wanasimania rasimali gani kama hawakupewa fedha za kuleta machafuko hapa nchini
Back
Top Bottom