Recent content by Boutross Mwidunda

  1. Boutross Mwidunda

    Kuna anayejua list ya vijana matajiri Tz na chanzo cha utajiri wao, tushirikishane

    Vip soko LA mahindi mkuu. Ni available?? Kama unaweza kushare we unasold WAP its fine!!!!
  2. Boutross Mwidunda

    Ontario kamalizwa kishamba mno!

    Bac biashara zote ni kamari kama ndio mawazo yako hayo. Kwasababu biashara yoyote kuna loss then kuna profit
  3. Boutross Mwidunda

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    vipi kuhusu mtaji wa kuanza nao in Tsh Ukiangalia price ya bitcoins? Na vipi kuhusu uuzwaji wake ,je ukiamua kuuza tu unapata wa kununua??
  4. Boutross Mwidunda

    Madini yangu kuhusu FOREX Trading!

    Madini mazur,,,,,,,,big up mkuu
  5. Boutross Mwidunda

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Brother uko vizuri Nimependa ,unapenda kila mtu afanikiwe 2ko pamoja every stage.
  6. Boutross Mwidunda

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Au kuna application yoyote ambayo inaconvert hizi currencies
  7. Boutross Mwidunda

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Nashukuru sana mkuu Lakini kitu kingine napenda kujua kwamfano nikiwa na bitcoins kadhaa kwenye bitcoins wallet yangu ni process zipi nazifanya mpaka natoa kama salio kwenye mobile money like M-pesa,tigo pesa n.k
  8. Boutross Mwidunda

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    hivi hakuna uwezekano wa kubuy na kusell bitcoins kwa Tsh currency??
  9. Boutross Mwidunda

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Wapendwa wanajf naomba kujulishwa vizuri juu uwekezaji kwenye kuuza na kununua bitcoins.
Back
Top Bottom