Recent content by bottega

  1. bottega

    Wakwe zangu wachunguzwe afya ya Akili zao.

    M nadhani ingekuwa vyema kama Wewe ndo ungepimwa akili kwanza...... Pia nashangaa hao wanawake walikubali vipi kukuzalia??
  2. bottega

    Nina mpenzi lakini naona kama ni bomu la nuclear

    Chaaaaa. .... nyie ndo wapuuzi Hivi mnadhanigi wanawake ni wajinga saaana eee Kama amempenda kweli kwanin wasiende nyumbani wanakaa kuzunguka gest wakati nyumba anayo mxeeeeeew. Hata sisi tunamsoma mtu.... kama nimdhamini au nliburuzee tu!! Maana mda mwingine mnashindwa kufikiriaa.
  3. bottega

    Nina mpenzi lakini naona kama ni bomu la nuclear

    Kudate na mijanaume ya ajabu ajabu kazi sanaaa..... sasa hiyo gesti ya elfu 20 kushuka chini ,,ukamlaze nani!!!!! Yaani kununua pombe tu unaona umeotoaaa..... Jaribu kumthamin mtu hata kidogo na ujipende na we mwenyewe pia
  4. bottega

    Tambua kiu ya mpenzi wako

    Pesa inaraha yake jamani ..... juc give me life !!!! Huko kwingne tutavumiliana tuuu
  5. bottega

    Hii ndio aina ya mwanamke ninayempenda, wewe je!

    Hayo ni mawazo ya broke man... ila siku ukipata hela vigezo vya mtu unaemtaka vitabadilika........... Pole sana tafuta hela kijana!!!!
Back
Top Bottom