Yapo maeneo ambapo barabara ni kizungumkuti na matukio ya ajali ya vifo yamekuwa ya kawaida kabisaaa.
Hizi hapa barabara 5 hatari zaidi duniani.
NAMBA 5
Barabara ya Guoliang kutoka nchini China, hii ni barabara ya chini na inayopita katia miamba na inayotajwa kama miongoni mwa barabara hatari...
Habari wana JF
Nimekuwa nikifuatilia juu ya matukio ya mauaji na mateso yanayotekelezwa katika magereza dunian.
Hii imenifanya kufahamu zaidi kuwa MAGEREZA mbalimbali duniani yamegawanywa kutokana na aina ya wafungwa waliopo.
Hii ikiwa na maana kuwa wafungwa wakorofi zaidi duniani kuwekwa...
Hii ni hatari kwel kweli,,,kkama umetazama hiyo video, hao jamaa wanasema et wanakula wachawi lakini baadhi ya watafiti wanasema wapo watu waliopotea maeneo hayo ambao wanaaminika waliliwa na hilo kabila
Habari wana JF,
Ni dhahiri kuwa kila jamii ina upekee wake katika mila, desturi, utamaduni pamoja na aina ya maisha inayoitofautisha na jamii nyingine.
Kuna baadhi ya maneno na mashapisho mbalimbali ambayo tumekuwa tukikutana nayo ara kwa mara juu ya jamii mbalimbali na wakati mwingine...
Jamii mbalimbali duniani zimekuwa na tamaduni za kipekee ambazo zimekuwa kwa kiasi fulani kuwa kama historia ama hadithi za kusadikika licha ya baadhi ya watu kuhusisha moja kwa moja na ukweli.
Nchini Papua New Guinea ndiko linalopatikana kabila ambalo limekuwa likihusishwa na ulaji wanyama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.