Dingii alikuwa mshua ambaye life style yake ilikuwa ya Kipedeshee. Wale madingi hongahonga wa mjini. Ambao huingiza milioni moja na kuhonga laki tisa nzima. Hata hajutii!
Alipokuta mkwanja mwingi umekaa tu pale Hazina. Kwanza akashangaa. Na ndo hapo msemo wa "Sisi ni matajiri sana". Ukaanza...
Unayetaka jimbo 2025, acha kulala lala jiandae kuanzia sasa. Shiriki shughuli za kijamii hasa mambo kama ya misiba.
Ukiweza weka harambee kwa ajili ya mfuko wa maendeleo. Tembelea wafanyabiashara wadogo na wakubwa masokoni.
Ongea sana na vijana wenye shughuli za kila siku kama bodaboda...
Kiongozi wa kisiasa unapolazimisha upendwe ni sehemu ya udikteta. Kama mtu hakupendi mpe na nauli kabisa aondoke zake. Ama sivyo unaiua thamani yako wewe binafsi, ya chama na yule aliyekuumba. Na hata raha ya kutawala kwako haipo. Ukipendwa utaheshimiwa.
Usipoteze thamani ya muda na thamani...
Dili kubwa Afrika na Tanzania ikiwemo, ni siasa. Wahadhiri na wasomi wanatoweka vyuoni kama sauti za tausi pale Ikulu. Wanajiingiza kwenye siasa na harakati za kipuuzi kwa mgongo wa demokrasia. Wamechoka kuchakaa kwa vumbi la chaki.
Badala ya kufundisha watoto vyuo vikuu. Wameacha kusaidia kama...
Unapotazama maamuzi ya serikali wakati mwingine inashangaza sana. Ukisikiliza kauli za wanasiasa inashitua mno. Lakini kubwa kuliko na kinachonyong'onyesha akili, mifupa, mapafu na nyoyo ni mitazamo, fikra, upeo na kila kitu kutoka kwa raia au kwa maana nyingine wapiga kura wenyewe.
Yawezekana...
Kitabu cha kiswahili utasoma siku moja au mbili umemaliza. Cha kiingereza utasoma wiki na zaidi na usimalize kamwe. Kwa sababu kiingereza kwetu huumiza kichwa na akili na kuleta kigugumizi.
Hata totozi ikiwa na viingereza vingi wanaume hupunguza kujiamini. Sasa kwanini tutumie kiingereza...
MFUMO DUME KUISHA LABDA IBILISI AJITOKEZE POSTA AKILA DAFU
Kikao cha mama zetu kina Gatrude kule Beijing. Hawakuchonga funguo ya ukatili dhidi ya watoto wa kiume. Lengo lilikuwa jema juu ya kumuinua mwanamke.
Lakini leo mtazamo ni hasi kwenye mchakato wa kumuinua mtoto wa kike. Kwa makusudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.