Recent content by bosa bajobe

  1. B

    Mume auwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kumnyonga mkewe

    Huu ukatili sijui utaendelea hadi lini? Hivi Bisimba yuko wapi na HAKI ZA BINADAMU? au kwake binadamu ni mtu wa namna gani? Ebu na hili lipigie kelele kama unavyofanya kwa binadamu wengine wanapoonewa.
  2. B

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Kwa Mwandishi makini na unayeheshimiwa na uliyekomaa kisiasa ni AIBU kuwa upande wa mtu fulani. Nakushauri usubiri wakati wa Kampeini ukifika.
Back
Top Bottom