Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
Fainali pale Milan ndoo tunaichukua kiulaini tu. Time will tell. Kwenye Uefa atletico ni wachumba tu kwa real Madrid. Congratulations to all my fellow madristas for reaching to 2015/16 Uefa champions league final in Milan.
Msajili wa Hazina kama simuelewi kabisa. Tangu kutoka kwa ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali amekuwa mkosoaji namba moja kitu kinacholeta uwalakini mkubwa .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.