Recent content by Living Pablo

  1. Living Pablo

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nafikiri kama ndo mtoto wa kwanza mtu lazima uwe na shauku
  2. Living Pablo

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Chupi imekaa upande tayari[emoji471][emoji169]🟨
  3. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kwa upande mwingine wa kumwaga majalo ni noma na ndo uzuri wake ulipo sio kwenye kukaba tu
  4. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Valvede niliona anazunguka sana kati na upande wa kulia juu kule ila Belli alikuwa hadi anakuja beki uku mara yupo juu mara upande wa Vin kila mahali
  5. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Sawa lakin De bruyne alisumbua sana kati kiasi kwamba kuzuia iyo mipira kwake na kiungo wengine wa Madrid. Toni umri umemtupa taulo.
  6. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Jitu kubwa[emoji23][emoji471]
  7. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    [emoji28]Toni nimemuona wakati anafanyiwa sub tu, alifichwa sana leo.
  8. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    [emoji1][emoji1]hao Leverkusen wanakazi sana kubakisha kikosi chao msimu ujao
  9. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kakiwasha lakin usumbufu wa Doku ukamfanya asipandishe mashambulizi
  10. Living Pablo

    JamiiForums Usiku wa manane

    You are going to be a father chief?
  11. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Luka alivyoingia timu ikawa na uhai kidogo sasa mbele yake angewapata vijana Mbappe,Vin, Rodrygo asee timu ingekuwa ya moto Nmesikia Mbappe kaomba akija aje na Hakimi kama itakuwa ivyo itapendeza uyu ni beki wa kulia mzuri tu
  12. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yule msimu ujao atachoka sana inabidi atafutwe replacement yake mapema aingie kwenye mfumo
  13. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    25 anaingia 26 bado kijana kabisa
Back
Top Bottom