Recent content by BORN COSTA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

    Kaka umeuliza maswali magumu na JK.hawezi kukujibu hata kidogo wakati hata yeye ni memba wa ESCROW sasa ata kujibu nini kama fedha ilikuwa siyo ya umma nini kimepelekea AG kujiuzuru nini kimefanya mmufukuze TIBAIJUKA kama sio fedha ya uma kwanini Katibu mkuu Nishati na Madini ELIAKIM MASWI...
  2. B

  3. B

    JamiiForums Tanzania Ukawa Mkilifanya hili, 2015 Mnashinda kwa zaidi ya 80% na kuingia Magogoni kiulaini

    Sisi ukawa hatuna wachapa usingizi na wauza mihuri hivyo hayo tutayafanyia kazi tena mapema ndio majukumu yetu kuwa na kiongozi anefanya kazi kwa karibu na wenye nchi sisi sio wale wenzetu ambao wao huenda kuongea na wanaoitwa wazee wa Dar~es~Salaam kufikisha ujumbe kwa wananchi harafu wakipata...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kama CCM na ufisadi si ndugu wafukuze kwenye chama chenu wafuatao

    Kuna watu wengi hawajui nguzo na misingi mikuu ya chama changu CCM nguzo muhimu za chama chetu ni WIZI/UONGO/UBABE/UNDUGUNATION na UFISADI huwezi kuwa mwanachama wa chama chetu kama hujatunukiwa STASHAHADA hizo sasa mwanchi unapolazimisha CHAMA kuondoa vitu hivyo ujue tutaua CHAMA ndio maana...
Back
Top Bottom