Hongera kwa hatua uliofikikia Bwana Laetus,
Kwa kuulizia zaidi kuhusu uchakataji huu hasa uchakataji wa plastiki kutoa output ya umeme, Je;
Plastiki itakuwa incinerated mpaka kiasi chote cha plastiki kitengeneze nishati!?
kama ndio,
Je; ni kwa nyuzi joto ngapi itatumika wakati wa incineration...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.