Kama kawaida yenu mmejaliwa sana matusi ya rejareja badala ya kufanya mjadala wa hoja kwa hoja, huenda sijajibu kama unavyotaka wewe binafsi ila ujumbe umefika, huu ni uwanja mpana tujadili hoja, kwa matusi ya reja teja pepo huioni ndugu endelea kujitia unafiki nafsini mwako. Mwogope Mungu na...
Cha msingi Yesu alisema yatayomkuta kabla hayajatokea, sasa waislam wanaamini Yesu ni nabii, sasa itakuwa wanamuona Yesu no nabii tapeli au magumash, au hawajui wanachokiamini, kumbuka pia wanaamini alizaliwa tofauti na bin adam wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.