Pole sana,tanesco wana ujinga huo sana tu.wanataka utoe hela kidogo ndio wakufuate.sasa watengenezee mazingira hayo ila washirikishe maafisa wa Takukuru ili na ww uwakomeshe.
Dawa ni hiyo ya kulala na maji ndaji ya beseni na ndoo kama tahadhari ila kama dawa ikipulizwa nyingi na ikakufikia direct inaweza ikakudhuru na wakaingia usisikie.cha kusaidia ni kufunga taa za ulinzi ili wapate hofu
Jamani naomba kujua kuhusiana na suala la nyumba kuwa na deni la umeme then wapangaji wakilipia kwa LUKU hawapati Units stahiki!ni namna gani mpangaji anaweza epuka hiyo hali?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.