Bro tofauti ipo Kati ya must na hivo vingine yaan( ATC na DIT) huku sisi ukifeli kuchomoa supp una retake yaan unarudia mwaka wenzako wanaendelea mwka mwingine wew unarudia Somo ulilofeli Ila MUST wana carry wenyew hamna Cha kurudia mwaka utalisoma Hilo somo ukiwa mwaka mwingine
Ko DIT utakuta...
Mungu akijalia ukaja utanikuta me nipo hapa DIT nasoma biomedical engineering mwaka wa mwisho diploma lakin nmeplan kuunga bachelor ya electrical engineering mwezi wa 10 kama Mambo yakiwa sawa
Vyuo vyetu hivi hasa ni theory( Wana deal na makaratasi kwanza) tu practicals utazikuta uko kazini baada ya elimu yako 80% ya vyuo vyote hawako based kwenye practicals
Hizo sifa mbaya unazosikia DIT ni zipi??
DIT hawana kubembelezana Kama hutaki kusoma unadisco au una retake modules akuna Cha ku carry Wala nn Kama unapenda mteremko nenda MUST
Kijana Kama unataka diploma kwelii njoo DIT au ATC
NB:Kama huwezi kusoma kwa bidii nenda hivo vyuo vingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.