UZOEFU WA UFUGAJI WA NGURUWE WENYE FAIDA
Natambua wapo watu wengi ambao imani zao zinaruhusu wanatamani kufanya mradi wa ufugaji nguruwe wenye faida.Labda wengine wamejaribu bila mafanikio.Kwa uzoefu wangu ( refer thread yangu Mbegu nzuri ya nguruwe sasa inapatikana | JamiiForums | The Home of...
Ni wazo zuri ila jitahid kuwekeza kwenye maarifa kwanza kabla ya kuanza mfano kufuatilia makala ya ufugaji mtandao na popote kujiunga na magroup ya Whatsapp ya wafugaj e g ya nguruwe kutembelea mashamba ya wafugaji waliofanikiwa kufanya utafit wa masomo
Hasa kwenye nguruwe Kuna vingi vya...
Wachome antibiotics na sindano ya sulphur
Kwa nguruwe kuhara ni common hasa wakiwa wadogo baada ya kuacha kunyonya
Mara nyingi ni infection Wanazopata kupitia chakula pia wachome dawa ya minyooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.