Asante.
Ila naomba kujua ukifika tu pale Getini kama kuna kiingilio ni shingapi..na huko juu ni shingapi. Wabeba mizigo ni Sisi wenyewe. Tunahitaji mtu wa kutuongoza tu. Na kufika juu ni max siku ngapi
Habari zenu wadau.
Naomba kujua gharama za kupanda mlima Kilimanjaro kwa watanzania.
Kiingilio ni shilingi ngapi? Gharama za tour guider ni shingapi kama ni lazima kuwa nae, na kama kuna vingine ambavyo ni muhimu kujua naombeni msaada.
Asanteni wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.